Thursday, 8 March 2012

Mchongowano reloaded


Wewe mshamba hadi simu yako iko na game ya kulima.

Una mkono rough hadi ukishika mouse, computer inadai 'Found New Hardware'.

Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga.

Ati wewe ni mchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate.

Ati sister yako ni mnono mpaka chali yake humshow 'U r 2 in a million'.

Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza "Utahama lini"?

Ati una kipara ukivaa polo neck unakaa roll-on.

Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa, "OLD TESTAMENT" ilikuwa inaitwa "TESTAMENT".

Umezoea kutumia wasee 'Please Call Me' mpaka ukipress *130* simu ukutolea
phone book ujichagulie.

Wewe ni dentist mpro hadi unang'oa bluetooth ya phone yako.

Ati wewe mweusi tu sana mpaka hauna bright ideas.

Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, "Ngai kameungua".

Wewe ni mkonda hadi uki dance helicopter una take off...

Uko na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness.

Ati kwenyu ni kuchafu hadi mende za jirani zinaita zenyu chokora.

No comments:

Post a Comment

Thank You for Your Comment!